Hongo Ya Karao Vol. II - Toxic Lyrikali, Mauru Gwash & Kapitani cover art
Kenyan

Hongo Ya Karao Vol. II - Toxic Lyrikali, Mauru Gwash & Kapitani

AfroMusic ·2026
1
Plays
0
Downloads
0
Likes
Do you wish to initiate a DMCA takedown report? Kindly send an email to contact@mziqi.com .
Share this song
##ToxicLyrikali #Hongoyakarao #Kapuka Toxic Lyrikali #Mauru Gwash #Kapitani - Hongo ya karao Listen to "Hongo Ya Karao": https://ffm.to/hongo-ya-karao-vol-2

Hongo Ya Karao Vol. II - Toxic Lyrikali, Mauru Gwash & Kapitani
Hongo ya Karao Vol.II
ft. Kapitani & Mauru Gwash
KENYAN HIPHOP
Sheng
· 2026
· 248 views
PROD. BY ABH sound
WRITTEN BY Denzel Washington, Kapitani, Mauru Gwash


Year
2026
Genre
Uploaded
Aug 28, 2026

AfroMusic
"Afro music" is an umbrella term for contemporary popular music origin...
Hongo Ya Karao Vol. II - Toxic Lyrikali, Mauru Gwash & Kapitani
Mboka

[Chorus: Mauru Gwash]
Hongo ya karao siku hizi ni kithao
Na kwa pori ni ki mbao
Pole mkubwa si si si madharao
Nakivuta ndio angalau
Niondoke izo izo izo swara zao
Niondoke izo swara zao
Niondoke izo izo izo swara zao

[Verse 1: Toxic Lyrikali]
Ndio kutoka reggae 
Panguza rusha na luku wembe
Na avoid tu maboyz in blue hao ni masenge
Ni challenge, ju sisi ni shamba hao ni majembe
Sijai sundwa na nachafua jiweke
Na rada, njege anadai niko gang affiliated
Massage mrazi na knuckles ikuwe message
Hatuogopi shiet, fully bad tangu ancient times
Mentor wangu akiwa maziwa sikuwa na ng'am anachai
Under the influence wanadhani hatuwezi thrive
Si maganji pekee ndio inafanya ni smile
Ju ya D, boy mzuri, mashawry waki ni-define
Nikivuta line haezi decline

[Verse 2: Kapitani]
Sijai kubali kijana anizoe
Kabla nianze jaba naekanga defence
Kuna deal nangoja iivane nieke meno fence
Kuna keki ananitrace pesa yake ndio tunaspend
We not police, but tutaje ukiwa na ngori
Utamu ya ngusu ina anzianga kwa nyongi
Sijawai jifanyia mtihani sina issue waki copy
We nikanje shida ilinileta Nairobi
Hii ni top caliber 
East side hooligan
Naingia na madoido so sikosangi pararira
Asset zishafika, kwa wenye wanauliza
Vitu hazijatumika sana na bei ni ya kutupa

[Verse 3: Toxic Lyricali & Kapitani]
Ngoja kwanza asset si ya mkono wa pili
Pole kwa mwili
Nikishabag mamilli
Life we living
Kwa jungle ya simiti
Hizi ni rare ka rangi mpya kamiti

Ju haijawai kuwa rahisi
Naeza ingia kwako na teke ka polisi
Si lali njaa ni nyinyi mtalala chini
Tuko hunting, kicheko ya fisi

[Chorus: Mauru Gwash]
Hongo ya karao siku hizi ni kithao
Na kwa pori ni ki mbao
Pole mkubwa si si si madharao
Nakivuta ndio angalau
Niondoke izo izo izo swara zao
Niondoke izo swara zao
Niondoke izo izo izo swara zao
Niondoke izo swara zao

[Verse 4: Kapitani & Toxic Lyrikali]
Yoh
Mukuru alikuwa ananisomea
Si yeye nasomea
Saa hakuna venye mbleina anamea
Kijana utanipea
Ama ujue mara haina spare
Sikupenda, ni hali utanisamehea

Niko na confidence kama suicide bomber
Caution ju ya deni naeza ku-torture
Slaughter before kudeliver product
Party ni ya ghetto na sisi ndio masponsor
Reminder, we affi bad everyday 
Naeza sponyo party na nikose kuparticipate
Underrate, si ni warena hadi uki-hydrate
Tukionekana njege wataje wanavigate

[Chorus: Mauru Gwash]
Hongo ya karao siku hizi ni kithao
Na kwa pori ni ki mbao
Pole mkubwa si si si madharao
Nakivuta ndio angalau
Niondoke izo izo izo swara zao
Niondoke izo swara zao
Niondoke izo izo izo swara zao
Niondoke izo swara zao
Niondoke izo izo izo swara zao
Niondoke izo swara zao
Niondoke izo izo izo swara zao
Niondoke izo swara zao