Moss Moss is an iconic Kenyan hip-hop track by the legendary artist E-Sir featuring vocalist Brenda. Produced by the legendary Ogopa Deejays, the song became a massive East African classic celebrating success and dance culture
Lyrics Jasho yatiririka Moyo wapiga Kila mtu, Anawika Hajui vile ya kusema Mahewa tunapewa Yatiririka Moyo wapiga Kila mtu Anawika Hajui vile ya kusema Mahewa tunapewa Moss, moss, moss, moss Pole pole Moss, moss Twazienda Moss moss Haraka haraka haina baraka Moss, moss, moss, moss Pole pole Moss, moss Twazienda Moss, moss Haraka haraka haina baraka Nani mwengine mwaambiwa Kenya nzima kama mimi Mwenye kushika mic na kuwapa Kiswahili Sure, rhymes zikitua Rhymes zapasua vifua (Fafanua) Na safari hii, ma-emcee, nawaombea dua Nikiwa-hit kwa industry, niki-manoeuvre Kama mvua nanyesha mahewa, nikileta wako wengi Lakini it's obvious I'm better It's hot in here, hot in here Tumeshika mic, karibia Brother, kamata Sister, kata kiuno kwa mdundo Na huu ndio mtindo Moss, moss, moss, moss Pole pole Moss, moss Twazienda Moss moss Haraka haraka haina baraka Moss, moss, moss, moss Pole pole Moss, moss Twazienda Moss, moss Haraka haraka haina baraka And thanks to Ogopa's guidance There's no defiance Navuta more crowds than Rainbow Alliance Wakiuliza, sema ni E-Sir Ameshika na kuturoga kabisa Ni mahewa (Mahewa) Mahewa tunapewa (Uh-huh) Na kukatika na hizi ngoma Basi (Basi) Twazicheza na mpango (Mm-hmm) Twazicheza mpaka jasho Jasho yatiririka Moyo wapiga Kila mtu, Anawika Hajui vile ya kusema Mahewa tunapewa Yatiririka Moyo wapiga Kila mtu Anawika Hajui vile ya kusema Mahewa tunapewa Moss, moss, moss, moss Pole pole Moss, moss Twazienda Moss moss Haraka haraka haina baraka Moss, moss, moss, moss Pole pole Moss, moss Twazienda Moss, moss Haraka haraka haina baraka Moss, moss, moss, moss Pole pole Moss, moss Twazienda Moss, moss Haraka haraka haina baraka Moss, moss, moss, moss Pole pole Moss, moss Twazienda Moss, moss Haraka haraka haina baraka Haraka haraka haina baraka Haraka haraka haina baraka