Nonini-We Kamu - song and lyrics by Nonini Mgenge2Ru
Nonini-We Kamu - song and lyrics by Nonini Mgenge2Ru Lyrics We Kamu.lrc Nonini [id: a7kcbkz] [ar: Nonini] [al: Best of Kenyan Music Classics, Vol. IV] [ti: We Kamu] [length: 04:58] [00:24.77]Leo niko kwa keja sitoki hapa [00:29.35]Kwa hivyo ukitaka we we we we kamu [00:34.03]Leo niko kwa keja sitoki hapa [00:38.49]Kwa hivyo ukitaka we we we we kamu [00:43.37] [00:43.37]Home leo utanipata jo, sitatoka [00:45.46]Kuandika ngoma si unajua siezi choka [00:47.86]Miezi sita nimekuwa kwa studio nikishughulikia [00:50.02]Ngoma yako wee kamu, si unaiskia [00:52.32]Vile iko poa kwanza kabisa hebu hiyo jacko yako toa [00:54.90]Kuna siri yoyote unaeza like kuniambia, toboa [00:57.14]Ushawai guzwa mahali jo ukaskie kukojoa [00:59.33]Leo mi na wee au sio, poa poa [01:01.55]Umesahau home ambia ule konkodi atakudondoa [01:03.87]Kwetu hapo nje na gate yetu si ya blue [01:06.14]Ni ya orange third floor wee angalia tu juu [01:08.53]Lakini uchunge huku ni Calif watu wanaeza shuku [01:10.79]Wee ni mgondi ukakatwa shingo style ya kuku [01:13.22]Hiyo kichwa yako inachemshwa wazee wanakunywa supu [01:15.48]Naeza tembea chupa zimevunjika, mguu tupu [01:17.75]Nijifanye sugu 'saabu yako tu, 'saabu yako tu [01:21.26] [01:20.24]Leo niko kwa keja sitoki hapa [01:24.84]Kwa hivyo ukitaka we we we we kamu [01:29.41]Leo niko kwa keja sitoki hapa [01:34.00]Kwa hivyo ukitaka we we we we kamu [01:38.88] [01:38.42]Ushai chotwa na gari [01:40.58]Niko poa sana sijakucheki ni ka nimechotwa na gari [01:43.42]Niambie leo tu utakam jo tafadhali [01:45.65]Home hakuna bathtub, si shower afadhali [01:48.02]Leo lazima inibambie wapi, kwa bafu [01:50.20]Leo lazima inibambie wapi, kwa bafu [01:52.30]Na round hii niko mbele usifanye niongee uchafu [01:54.56]Chali yako leo lazima atajua maana ya bafu chafu [01:56.86]Nyama choma leo tunaikula hivyo kavu kavu [01:59.31]Wee kamu tu, wee kamu tu [02:01.42]Wee ni mpoa tu sana mbona choo huendangi [02:03.78]Na ka wee huenda kitu hutoka niekee kiasi yake [02:06.02]Cream hapo hapo na usiseme jo mi huvuta bhangi [02:08.44]Kutoka home leo nywele yako itakuwa shaggy [02:10.77]Mtu yoyote akikuuliza ulikuwa wapi utasema nini utasema nini [02:15.25]Nilikuwa natuma salamu kwa baba na mama kwa kina Nonini [02:18.77] [02:17.67]Leo niko kwa keja sitoki hapa [02:22.37]Kwa hivyo ukitaka we we we we kamu [02:26.94]Leo niko kwa keja sitoki hapa [02:31.22]Kwa hivyo ukitaka we we we we kamu [02:36.10] [02:35.93]Kuna food poa hapa na unapika [02:38.48]Na usivae jeans imeku imekushika [02:40.86]Juu ya meza leo lazima uta utakatika [02:43.06]Bila kitu tukiskiza maneno maneno kwisha [03:00.14]Na ukuje pekee yako jo usikuje na beste zako [03:02.56]Sitaki kombi leo nakutaka wee pekee yako [03:04.89]Usiseme unaenda wapi, sitaki noma na mathako [03:07.36]Sema unaenda libu, staki noma na budako [03:09.78]Anajua si ni mabeste na hiyo ni poa [03:11.66]Nikifungua mlango tu hivi anza kutoa [03:14.09]Si unakumbuka ile chakula nilikuambia inaeza ngoja [03:16.41]Kuna ingine tamu hapa ukitaka unaeza onja [03:18.68]Pole pole jo hujui inaweza kunyonga [03:20.98]Umejaza mingi kwa mdomo mpaka unashindwa kubonga [03:23.29]Tulia tulia tulia tulia [03:25.53]Wacha nifungue mlango kuna mtu anagonga [03:28.82] [03:28.02]Leo niko kwa keja sitoki hapa [03:32.54]Kwa hivyo ukitaka we we we we kamu [03:37.25]Leo niko kwa keja sitoki hapa [03:41.84]Kwa hivyo ukitaka we we we we kamu [03:46.38]Leo niko kwa keja sitoki hapa [03:50.82]Kwa hivyo ukitaka aah [03:55.78] [03:55.58]Leo niko kwa keja sitoki hapa [04:00.50]Kwa hivyo ukitaka aah [04:04.63]Leo niko kwa keja sitoki hapa [04:09.27]Kwa hivyo ukitaka aah [04:14.05]Leo niko kwa keja sitoki hapa [04:18.68]Kwa hivyo ukitaka aah [04:23.48]Leo niko kwa keja sitoki hapa [04:27.95]Kwa hivyo ukitaka we we we we kamu [04:32.66]Leo niko kwa keja sitoki hapa [04:37.20]Kwa hivyo ukitaka we we we we kamu [04:41.76]Nonini uko kwa keja nakutaka kwa hivyo akiku aah [04:48.63]We we we we kamu [04:51.46] Year of Release: 2018