Taya by Okello max ⚜ Download or listen online- cover art
Afrobeats

Taya by Okello max ⚜ Download or listen online-

Sony ·Healing ·2025
13
Plays
0
Downloads
0
Likes
Share this song
#Stream and Download Okello Max - Okello Wa Mp3 Audio Music.#lyriccwave #lyrics #okellomax #taya

Stream and Download Okello Max - Okello Wa Mp3 Audio Music.

Released
2025
Artist
Max Okello
Album
Healing
Genre
Afropop


Album
Healing
Year
2025
Uploaded
Jul 4, 2026

Sony
Music Lover...
Song: Taya
Artist: Okello Max
Lyric Video: Lyriccwave
Credit: Okello Max

...

Lyrics:

Naanzaje laumu
Love iliisha mapema
Mapenzi yashanidhulumu
Maisha haya ya sinema
Kwani tutakula mapenzi tu
Swali limenivua heshima
IPO siku nitafaulu
Na roho yangu mi nitaikinga

[Pre Hook]
Ni salama
Salama nawe
Napiga sala
Nainama
Lazma niiname
Mvunguni nafika
Yashanwagika
Na yatazoleka
Siezishindwa
So ni salama
Salama nawe
Salama
Yawa ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo
Taya
Ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo taya

[Post hook]
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Asebedo kamanyo manyoge gima mari mari
To matin mayudo okoromi juu we ni baddie
Awino Mariana ona umefanya pii wang’a chwer
Ulinidanganya utakuwa pamoja koda nyaka chieng

[Pre Hook]
Ni salama
Salama nawe
Napiga sala
Nainama
Sharti niiname
Mvunguni nafika
Yashanwagika
Na yatazoleka
Siezishindwa
So ni salama
Salama nawe
Salama
Yawa ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo
Taya
Ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo taya

[Post hook]
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya

[Outro]
Nicheze nawe mara ya mwisho
Mbele nyuma
Nicheze nawe mara ya mwisho
Mbele nyuma

...
#lyriccwave #lyrics #okellomax #taya