Ya Mwisho by Mejja ⚜ Download or listen online cover art
Genge

Ya Mwisho by Mejja ⚜ Download or listen online

mziqi ·Mejja ·2025
0
Plays
0
Downloads
0
Likes
Do you wish to initiate a DMCA takedown report? Kindly send an email to contact@mziqi.com .
Share this song
#Mejja

Ya Mwisho by Mejja ⚜ Download or listen online


Ya Mwisho by Mejja ♫. Stream and download high-quality MP3. Download or dance to this song … one of Africa's leading music services!


Album
Mejja
Year
2025
Genre
Uploaded
Jul 16, 2026

mziqi
Stream and download thousands of songs from Afrobeats to Bongo Flava, Gospel to ...
Nilikuwa nimetulia tu, nakunywa chai
Ya tangawizi nikikula tumayai
Sina noma nimetulia walai
Msupa akakuja akishout akidai
Gai, Mejja Neme Khadija
Nikajua ukiitwa na jina ya ID
Hapa kuna noma moja imelipuka!
Who is this?
Anakutumia nudes, na emoji kiss
Nikamwambia baby nadhani una-overthink
Akasema wait, kitu last week
Nilipata shati imejaa lipstick

Alafu this week unaniplay na this bitch
Akanipiga bare
So you think I’m stupid?
Nitachukua vitu zangu nikuwachie hio nyumba
Ulete hao mapoko uendelee kuwakula

Nikamwambia baby you know you’re my life
Mi ntakuoa I’m gonna make you my wife
Nikapiga magoti nikamwambia – I’m sorry
Nikaanza kulia, nikamguza roho
Akatulia nikamshow

Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Aki baby nisamehe I promise you


Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Aki baby nisamehe I promise

Next day nilikuwa nimetulia
Nikaskia beshte yangu amenipigia
Utakula jaba? Unaskia kuchana?
Nikamshow, pull up my brejin
(Pull up my brejin)

Mi nakula jaba tu polite
Nikapata message
Are you free tonight?
Huyu msupa amenitoa wazimu
Ni clande, moja kitu

Nikaambia beshte yangu anipеleke South B
Msupa akasema tutumiе Gate B
Hapo ndio beshte yangu alishika rada
Akaniambia, Mejja nini unataka kufanya?

Ni juzi tu manzi yako alikupata
Ukamuambia kuwa player umeacha
Kabla nimjibu manzi akafungua gate
Vile amevaa, amevaa mini
Ukicheki thighs zake, hungeamini
Mpaka beshte yangu akasema anakaa fiti
Nikamwambia, eh we, we ni ka mimi
Akaniambia – Na ukishikwa, nikamjibu hivi

Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
After tumekulana, sitakulana tena

Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
After tumekulana, sitakulana tena