Nitacheza kama mimi Alafu nikupe through pass cheza kama Lewandowski Ivo ndo si hucheza mjini Trio cheza kama wewe Cheza kama wewe
Lyrics … Aanhuh Trio (Man a bad man ting) … Nina kakitu kwa mbosho nkutolee form? Kuja na mavitu vidosho ma-corazon Chocha chipo mwitu na portion ya choma pork And then mi nitakuja na chumvi Na nyongi ya juzi Leo utatoa moshi ka trolley ya msee wa smokie Nitacheza kama mimi Alafu nkikupa through pass cheza kama Lewandowski Ivo ndo si hucheza mjini … Trio cheza kama wewe Cheza kama wewe Cheza kama wewe We bazu cheza kama wewe … Trio cheza kama wewe Cheza kama wewe Cheza kama wewe We bazu cheza kama wewe … Trio nacheza kimimi Mdhamini sipimi Na ka unadai moshi utazivuta wakuite chimney Limit ya fuliza imeongezeka nko machingli Naeza shika jug na kanuthu uskie tifi Nacheza kiroro, nacheza kiwingman Naeza fika soko, nishike ki-G bag Turirime mdagi meditation na ki-FIFA Shuksha kibandaski chapo dondo inaeza jipa … Rada na madenge? Vuta hizo matenje Usichomange kamenje Uskii niko mawenge Unaeza nyonga sana mkono ianze kumea zigwembe Manze kakiivana si napigana tu vijembe Nkupeleka na mtrrrr, peleka na mtaratara Usilete hapa machrrr, manguna vitu chwara chwara Mi huteka maprrrr, mam'doko wankaa maprincess Magala ni wapeng wanfaa kupostiwa kwa Pinterest (ai!) … Form? Manze siuchoche sherehe Leo tupige kelele Raha unajipa mwenyewe Si unichome uko na ndom? Tukiwashe tupepee Tukate maji leo tulewe We bazu cheza kama wewe … Mejja cheza kama wewe! … Niko Calif nashikisha Na mamorio tukichoma shisha Kuna wale hushukisha Wale madem hujifanyaga madiva Ka huyu hapa anaringa Na hizo lips, ni ka anapiga binja Bad energy stay far away Wale wamebaki tupige sherehe Manze kaa rada ukiwa dunda usilewe Mafisi wako ready, msupa anyemelewe … Ukiwa dunda ni ubebane Ama ubebwe, ama ubebewe Ukiwa dunda ni ucheke Uchekeshane, ama uchekelewe Yoh manze zimeriet Nakwambia zimeshika Nakuta nina shash Nani ako na rizla? … Mi naskia kukiseti tukiskiza ma-sizzla Leo watu ni walewe Bazu niko na pesa mingi Ule ni msee wa mayai Muite umwambie agonge mbili Ndio nijenge mwili Nikiteka msupa Nicheze ka mimi … Yoh, wacha nicheze ka mimi ucheze ka wewe Tutafte ya mzinga manze jo tuchange Tulewe, tulewe Tulewe tulewe tubebwe! … Form? Manze siuchoche sherehe Leo tupige kelele Raha unajipa mwenyewe Na si unichome uko na ndom Tukiwashe tupepee Tukate maji leo tulewe We bazu cheza kama wewe … Exray cheza kama wewe! … Naeza fanya ngeus atoke chini Nyoka hutolewa na ulimi Whisper excuse madam talk chini Nikufikishie hio habari ya mjini, yoh Nafika ndani ya bash na mamiwa Kachumbari raru na dhania Ukifika solo ka umeiva utavamiwa Napendaga nyama na maziwa Mom, mafuta ya ng'ombe si ya k'kamua Naonanga wavulana wakinunua … Na wote wanasema wamegundua Walilete monkey wakasema itatambua Ah, cheza kama wewe yoh Mi hucheza na mambwegze Cheza juu ya genje Sichezagi na hio rende Mi hucheza na mangwete Huskii we … Tunapendaga wote color ya Akothee Na Zari, hatujali Ndo watu wasinyonge, eh Maji maji ka sauce ya mwitu Chini ya maji ka blink ya mchinku Alinona ju alishiba na ma p2 Piga waya ka pad ya ps2 Ebu mwambie kwanza aspell Teletubbies Ama anajua tu smell ya Cannabis … French kiss mpaka tujipate Paris Waganis, waganis si ni mayardis Mi nina mafans mpaka bonde Marsabit Na mapilot na iwake ndani ya cockpit Mi si bigfish mi ni Sea-lion Badmind Babylon Heart Zion Supper supper haiwezi miss nyama (nyama) Makaa makaa bekali si nyanya (nyanya) … Na Jamaica ni makoro si Corona Na mambichwa naziseti kwa keroma Na sijali ka unasema mi nachoma Ju nachoma mpaka nifike Barcelona!