#Cedo #KenyanMusic #Iyanii
Iyanii, Mwana and Cedo teams up to give us a warm and catchy banger. Its simplicity allows it to resonate with a wide audience, making it impactful and the catchy, repetitive chorus makes it easy to sing along to.
Kifo Cha Mende Lyrics by IYANII Sema uuuh uuuh wiiiii yaa yaa One time We Waka Waka Waka Cheza doba zi tu nice, Ju zetu zime nice Mwana Sema uuuh uuuuh wiiiii yaa yaa Kwa Majina ni Iyanii (nayo) Tunakujua Cheza doba zi tu nice Ju zetu zime nice La la la ako ka peng nika area Na kakitaka me huichapa (chapa) Nakula kiapo ndai hapa, Ajeeeeee Sit don Pon it nkirusha mamistari Viungo we nengua, mwili hatari Whine n coach nishikishe mali Twende maeneo, chuma ilale ndani Iyanii bad boy kijana wa ingo Napenda njugu na Mukombero King wa ma style napenda mastingo Kifo cha Mende ama Wagido Uuuh uuuh wiiii ya ya Kufa dereva makanga Leo ni Kifo cha Mende Sema uuh uuuh wiii ya ya Leo tuna vunja kitanda Kudonjo kudunda na yeye Nayo Nayo Nayo (Anguka) Nayo Nayo Nayo (Dunda) Nayo Nayo Nayo (Mimi) Nayo Nayo Nayo Wayaya Maji imepatana na wire ya stima Hata haya sina, naipiga ki John Sina When I'm done you can't see me Vuta kaya harufu mbaya Ni ya majenge Mandukulu mbaya Unaishi wapi yahaya (aaii) Unatoka wapi ulaya Nyash yake soft kama mattress Naipapasa inanitoa stress Kama mzinga nitakabless Na majirani wata witiness Iyanii bad boy kijana wa ingo Napenda njugu na Mukombero King wa ma style napenda mastingo Kifo cha Mende ama Wagido Uuuh uuuh wiii ya ya Kufa dereva makanga Leo ni Kifo cha Mende Sema Uuuuh uuuuh wiii yaa yaa Leo tuna vunja kitanda Kudonjo kudunda na yeye Nayo Nayo Nayo (Eeeeh ) Nayo Nayo Nayo (Dunda) Nayo Nayo Nayo (Mimi) Nayo Nayo Nayo Aaaahhh Wachaa bana Pull Up Manake Rudia tena Uuuh uuuh wiii ya ya Nayo Nayo Nayo (Anguka) Nayo Nayo Nayo Kufa dereva makanga Nayo …. Nayo Nayo (Mimi) Leo ni Kifo cha Mende Nayo …Nayo Nayo Sema Uuuh uuuuh wiii yaa yaa Nayo …. Nayo Nayo Nayo