[Intro] Vile tu nliandika Nafaa kubonga vile iko Hata sijui nini inanisumbua Kata maji watu wangu waone hio side ingine Yeah, yeah [Verse 1] Uzito kwa mlima, elephant kwa hio tusk (task) Niko kwenda viral hadi fans ilibidi wavae hizo mask Grow lips zingine juu ya effects za dust Crawling kwa pub ingine ka Johnnie Walker akirust Crawling kwa mteja mwingine juu walenje inaburst Holy water yakuacha machachani na thirst Mi silewangi asubuhi sitaki kuharibu hio trust Jua ni nini kwanza utaweka kwa sahani first 40 days, 40 nights itabidi nimefast Bambwa na drunk disorderly, community serve Rudi kudrink properly, familia imekutrust Ladha ya property, I swear ndio their only son Hebu sema hawata-freeze account Pesa, pombe, siasa na wanawake thin juu ya hii lust Hata wanawake washakuwa mathief, na hio divai Ni ya sherehe, graduation na wedding Hio ingine ni ya kutu-divide Wasee wanadive deep na hawajui ku-swim Lifeguard ako kando anawachekelea Wakisip zile za I’m slipping, I’m falling Beshte yangu alikunywa charmgei Macho zika-go missing [Chorus] Kata maji ka Musa (go missing, charmgei—) Watu wangu waone hio side ingine (go missing—) Kata maji ka Musa (go missing, charmgei—) Watu wangu waone hio side ingine (charmgei) Kata maji ka Musa (go missing—) Watu wangu waone hio side ingine (charmgei) Kata maji ka Musa (go missing) [Verse 2] Thitima ni ka ice, sensodyne Behind bars ndo huyo mimi naandika lines There shall be weeping and gnashing of teeth Hawa wasee wasipotoa lock by 6 arif Dem wangu wa wines namuitanga witchdoctor Juu ye hutuuzia spirits, heri wewe juu— Hao wengine wao huhubiri maji na tunajua, hao hukunywa nini Matumbler, mapachu na mavikombe Hakuna chuki hapa ukileta ita-ricochet Compee ni compee, ka si hivo si compee Imekuwa mwezi mzima tukitafuta healer of leo Weka simu off tuchome kamnof Na mzinga za scotch, a toast to all malegendary Na pia wale tulilost Na msupa kabla huja wheez (Wiz) ka leafer (Khalifa), mpige kiss mamisus Dismiss hao wajinga, niko na bees kwa mzinga [Chorus] Kata maji ka Musa (go missing, charmgei—) Watu wangu waone hio side ingine (go missing—) Kata maji ka Musa (go missing, charmgei—) Watu wangu waone hio side ingine (charmgei) Kata maji ka Musa (go missing—) Watu wangu waone hio side ingine (charmgei) Kata maji ka Musa (go missing, charmgei—) Watu wangu waone hio side ingine (ingine)