"Umenipendea Nini" is a captivating collaboration between renowned East African artists Otile Brown and Baraka The Prince. This song is a heartfelt exploration of love's mysteries, encapsulating the vulnerability and curiosity that come with being in a romantic relationship. The title, which translates to "Why do you love me?" sets the stage for a lyrical journey into the depths of affection and self-worth.
[Instrumental Intro] [Verse 1: Otile Brown] Yeah, tahitaji zaidi ya maneno kushawishi moyo Yalivyo nitenda mapenzi, kuyakurupukia tena siwezi Kidogo initoe uhai, usione nakuringia, nayaogopa mapenzi [Pre-Chorus 1: Otile Brown] Mapenzi hayajakamilika, mapenzi ni maridhiano, imani na nia, mapenzi ni mawasiliano Nami na maswali mengi kwako, kilicho kutenganisha na Ex wako Usiseme unanipenda na haujamaanisha [Chorus: Otile Brown] Hivi, umenipendea nini?, sema umenipendea nini?, sema basi umenipendea nini?, sema umenipendea nini? [Instrumental Break] Ihaji Made It [Verse 2: Barakah The Prince] Ah, na sio sina mapenzi, ila mapenzi yalinitia kiburi Yalicho nitenda enzi hizo Maana wengi niliwapa mapenzi Baada ya penzi, nikavuna uadui Naogopa mwisho vilio [Pre-Chorus 2: Baraka The Prince] Mapenzi hayajakamilika, mapenzi ni maridhiano (Ni maridhiano) Imani na nia, mapenzi ni mawasiliano Ila mi na maswali mengi kwako, kilicho kutenganisha na Ex wako Na kama wanipenda na haujamaanisha Y [Post-Chorus: Barakah The Prince] Hivi, umenipendea nini?, sema umenipendea nini?, sema basi umenipendea nini?, oh, love Niambie umenipendea nini? Nini umenipendea?