Vic West - Kuna Kuna ft. Fathermoh, Savara, Brandy Maina & Thee Exit Band- Download Mp3 cover art
Kapuka

Vic West - Kuna Kuna ft. Fathermoh, Savara, Brandy Maina & Thee Exit Band- Download Mp3

mziqi ·Kuna Kuna ·2022
0
Plays
0
Downloads
0
Likes
Do you wish to initiate a DMCA takedown report? Kindly send an email to contact@mziqi.com .
Share this song
##blackmarketrecords #ESTUDIO #kunakuna "KunaKuna" by Vic West ft Fathermoh #Savara #Brandy Maina & Thee Exit Band | #kunakuna #ESTUDIO #vicwest #fathermoh #savara #brandymaina #theeexitband #blackmarketrecords

#blackmarketrecords #ESTUDIO #kunakuna
"KunaKuna" by Vic West ft Fathermoh, Savara, Brandy Maina & Thee Exit Band |

#kunakuna #ESTUDIO #vicwest #fathermoh #savara #brandymaina #theeexitband #blackmarketrecords

Artist
Vic West
Released
2022
Featured artists
Brandy Maina, Fathermoh, Thee Exit Band, Savara
Album
Kuna Kuna
Genres
Afropop, Afrobeats


Album
Kuna Kuna
Year
2022
Genre
Uploaded
Jul 16, 2026

mziqi
Stream and download thousands of songs from Afrobeats to Bongo Flava, Gospel to ...
Lyrics
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna
Nipe nikupe, come to the dancefloor beib
Leo tuna fess ah fi, fess ah fi banger
Ama tuta do it your way, yeah
Wacha niguse usiniogope beib
Leo nafinesse na finesse na ujanja ey
Leo nitamaintain
Ukinikuna back, mi nitakukuna front
Ebu baby don't let go
Ukinipea shash mi nitakupea ndom
Ey this the kind of love
Make me want me do it, do it, do it, do it
I make you, make you show it, show it, show it, show it (this way)
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna
Siezi, lewa sai
Siezi, siezi toka club sai
Siezi kosa kuteka mpoa sai
Siezi buyiwa pombe alafu mi nizirai
(Siezi)
Sakata sakata, Rhumba Rhumba
Sakata sakata kuna nyuma
Chuchumaa kunawe vunja mfupa
Tumia mikono ukishindwa miguu na
Ati kilichopandwa ni ulichokikuza
Na kikikuguza ni ju ulikichuna
Na kisipozama ni ju hakijavunwa
Na kikizolea ni juu kimemwagwa
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna
Yeah yeah yeah
Unanichuna chuna unanikuna kuna
Unanikuna kuna unanibeba yeah
Nashindwa unanibebaje?
Vako ya November yeah
Unanirunda runda, unanisunda sunda
Unanitunda tunda mpaka baadaye
I don't know how, I'll be lying... yeah
I got to sing knocking and balance
I got to move with the ball and balance
I cant believe my eyes
Nitalola nitalola nilalola nitalola nitalola
Eey nitalola nitalola
I'm karobha karobha
Ndabhora, ndabhora, ndabhora
Ndabhora, ndhabhora ndabho
My hands your waist, my heart away
Unanikuna kuna, nikuna kuna
My lips your lips, they touch we kiss
Unanikuna kuna, nikuna kuna